Mwanamke mmoja nchini Misri alishikiliwa na polisi kwa muda baada ya kushutumiwa kuoka keki zenye maumbo ''yasiyo na heshima'' vyombo vya habari nchini humo vimeeleza. Keki hizo zilizotengenezwa na ...
Waandalizi wa shindano la wanawake walio na maumbo makubwa nchini Uganda wamewasilisha malalamiko yao kwa spika wa bunge kufafanua madhumuni yao. Wamesema kuwa lengo lao sio kutumia shindano la 'Miss ...
Mpango wa wizara ya utalii Uganda pamoja na kundi moja la wanawake kufanya mashindano ya wanawake walio na maumbo makubwa umekosolewa vikali na makundi ya wanawake na umma kwa jumla. Mpango wa wizara ...
Shindano la uembo la wanawake wanene au wenye maumbo makubwa nchini Uganda limepata uungwaji mkono kutoka kwa spika wa bunge la nchi hiyo. Baadhi ya viongozi katika jamii wamekosoa lengo la shindano ...